SUKURO SIMANJIRO
Na Jackson
Mollel
Waananchi wa kijiji cha Sukuro wilayani Simanjiro
Mkoani Manyara wametakiwa kujiwekeza katika Elimu na ufgaj, ili kujiletea
maendeleo endelevu katika Nyanja ya Kiuchumi
Hayo yameelezwa na mkuu wa Mkuu wa mkoa wa Manya
Bwana Elaston
John Bwilo wakati akifungua na kuweka jiwwe la Msingi katika nyumba ya
watumishi wa shule ya sekoondari ya Kata ya Komolo Eng`eno iliyopo katika kijij
Cha Sukuro Wilayani Simani mkoani Manyarai
Katika ziara yake shuleni hapo Mkuu alielezwa changamoto mbalimbali zinazo ikabili shule hiyo ikiwa ni pamoja na tatio la maji uchache wa walimu ukosefu wa chakula kwa wanafunzi sambamba na upukfu wa samani mbalimbali kwa walimu na wanafunzi.
Wakati akitoa hotuba yake kwa wakazi wa kijiji hicho waliohudhuria ufunguzi
huo, aliwataka kutoa Idadi kamili ya Mifugo yao ili kuweza kuweka mipango halis ya
matibabu,ujenzi wa majosho,Banio pamoja na miundo mbinu mingine kwa lengo la
kuboresha afya ya mifugo wilayani humo kama taaluma ya mifugo inavyo elekeza.
Katika taarifa iliyotolewa Shuleni hapo kuhusu watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha
Kwanzi mwaka huu wa 2012 ambao
hawakuripoti shuleni hapo mkuu huyo alitoa agizo kumwagiza mkuu wa Wilaya ya
Simanjiro bwana Khalidy Mandiya kufuatilia na kuwakamata wazazi wote waliogairi
kuwapeleka watoto shuleni.
No comments:
Post a Comment