AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA COAST LINE 28/04/2012 HASUBUHI LINALOFANYA SAFARI KATI YA ARUSHA NA DODOMA KUPITIA WILAYA ZA SIMANJIRO NA KITERO
ENEO LA AJALI KATIKA KIJIJI CHA TERRAT WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA
KUSHOTO NI DREVA WA BASI HILO BWANA RAMADHANI ALIYEVUNJIKA MGUU WA KULIA NA MWINGINE KUPATA MAJERAHA MAKUBWA
MTOTO ALIYERUSHWA KUPITIA KIOO CHA MBELE NA AKATOKA SALAMA BILA HATA JERHA LOLOTE
ABIRIAALIYEJULIKANA KWA JINA LO LOHANGA ALIPANWA KIFUA NA KUPATA MAJERAHA KICHWANI
WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA TERRAT WAKITOA HUDUMA YA KWANZA KWA MAJERUHI
BAADA YA HUDUMA YA KWANZA SAFARI ILIANZA KUELEKEA KIJIJI JIRANI CHA LOSWAKI KILIPO KIWANJA CHA NDEGE CHA FLYING MADICAL SERVICE KM SABAKUTOKA ILIPO ZAHANATI YA TERRAT MAJERUI WAPELEKWE MJINI ARUSHA
MAJERUHI WAKIWA KWENYE GARI LA TAASISI YA ILARAMATAK LORKONEREI LILILOWAPELEKA UWANJA MDOGO WA NDEGE KIJIJINI LOSWAKI
NDEGE YA FLYING MEDICAL SERVICE KATIKA KIJIJI CHA KOSWAKI DAKIKA KUMI NA SITA TANGU IMEITWA KUTOKA UWANJA WA NDEGE KISONGO MJINI ARUSHATAWARI KWA KUWAPELEKA MAJERUHI.
MAJERUHI LOHANGA AKIPATIWA HUDUMA NA PADRI RUBANI WA NDEGE YA FLYING MEDICAL SERVICE KABLA YA KUPAKIWA KWENYE NDEGE .
LUHANGA AKUPAKIWA KWENYE NDEGE KWA MSAADA WA WAKAZI WA KIJIJI CHA TERRAT NA OLOSWAKI MAJIRA YA SAA NANE MCHANA
NA NDEGE IKAWA TAYARI KUONDOKA IKIWA MAJERUHI WOTE WAMEPAKIWA KUELEKEA UWANJA MDOGO WA NDEGE KISONGO MKOANI ARUSHA
NA BAADAE TUKAREJEA TENA KATIKA ENEO LA TUKIO
HUYU NI BABA WA MTOTO WA ALIYENUSURIKA AKIWA NA MWANAE
No comments:
Post a Comment